Kuna hizi JETTOUR T2 zinazotengenezwa na kampuni ya CHERY zinakimbiza Sana TANZANIA..
..ukipita mitaa ya vingunguti utakutana na makampuni ya kichina ya magari, sijui lini na Sisi tutaanza kumiliki haya magari
Watanzania ni Taifa la watu wasiokua na kipato ndio maana tupo busy kujadili magari sijui ya china,Japan na Ulaya nipo Gaborone hapa ni mchanganyiko kajaa Japan,SA na Mchina nchi yetu ina bahari ila watu wake wengi wapo kundi la umasikini gari ni kundi la anasa..
Ukimuona mtu na defender unamuangalia mara mbili mbili ujue ila inaonekana ni gari kweli sio masihara ingawaje Land rover huwa wanajiweka daraja fulani lakini mapumziko sio ya kutisha ndani..