GE2025 Bwege: Hakuna mpinzani wa kweli anayetaka mabadiliko zaidi ya Lissu, walimuhonga wakashindwa, walitaka kumuua wakashindwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Wakuu

Mzee Bwege katika mahojiano aliyofanyiwa hivi karibuni amekiri kuwa hakuna mpinzani wa kweli kwa sasa nchini anayetaka mabadiliko zaidi ya Lissu na ndiyo maana walijaribu kumuhona wakashindwa, wakataka kumuua wakashindwa kwa sasa wamemuweka ndani napo watishindwa.

Soma pia >> GE2025 - Bwege: Mpina alikosea kujiunga na chama chenye walakini, ACT kuna shida na uzembe

"Mpaka sasa hivi wapinzani wa kweli, watu wa kweli wanaotaka mabadiliko hakuna zaidi ya Lissu huyo mtu wa kwanza. Wamemuhonga wakashindwa, wakataka kumuua wakashindwa, wamemtia ndani sasa hivi wamempa kesi na watashindwa"
- Selemani Bugangala (Bwege)
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…