Bweche....!!!!!

Huu msosi utakuwa wa wanaume wa Dar yaani wali kidogo hivyo???
 
Hivi vitu haviliki kabisa maisha ni magum.
Huu ni uchochezi unawekaje hadharani ili hali unafahamu mitaani kulivyo?
Mkuu wwe ni Mpare?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahahaaa sisi wasukuma hapo tunaona zote n mboga hakuna cha kujaza tumbo nakula alaf nauliza chakula kipo wapi
Kuwa msukuma ni kama disability fulani hivi, sio kitu cha kujivunia mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…