Unasemaje kuhusu mh mama zitto ambaye alikuwa mbunge wa bunge la katiba!na yeye je alitoa nn hd akawa mjumbe wa bunge la katiba au kwa kuwa unaichukia chadema?
Hata kama ulikua unadhambi namna gani Ukirudi kwa Mungu kwa dhati Mungu Anakusame dhambi zako zote huyo amejitambua Baado wewe unangoja nini sasa? Chukua hatua changamka