kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,207
- 7,364
Nimemwelewa sana Prof. wako aiseeeh wacha na mimi niungane nae kwenye huo mpango wa kununua maziwa badala ya kufuga ng'ombeDuuuhhh kuna baadh yamambo jaman huwa yananifanya nihisi kua mimi maishan nitaishi na watoto Wangu . ila moyo unasema hapana kuna wanawake wema.
Refer ,,, kuna professor wangu anaitwa mushi ...huyu bwana licha yakua na Mali ,anawatoto lkn haishi na mwanamke ,,
Siku moja nikamuuliza ,,Prof ,ivi nikwann Huishi namwanamke na unakila kitu ,,mishahara kwa mwezi anapiga mpaka million 20 .
Alinijibu.
Mwanangu ,,, unaweza ukawa umekamilika kwa kila kitu ,,nashida yako ikawa ni * chai yamaziwa *
Nikamwambia eeehhhhh,,, akaendelea .....waweza fuga ng'ombe ukamtafutia mchungali ,ukagaramika kumtunza na huduma ..ukakubali harufu ya kinyesi chake ,,na kila aina ya kero .......Lkn mwingine yeye kwakua anapesa akaona kuliko kupata usumbufu km huo yeye atakua ananunua maziwa kila atakapoyaitaji .
Akasema yeye amechagua kua mnunuzi Wa maziwa kila anapohitaji .
Kwakweli ,, kuna wanawake wanaweza kukua na presha.
Nimependa Bure Hayo Majibu na mifano ya mifano yakeDuuuhhh kuna baadh yamambo jaman huwa yananifanya nihisi kua mimi maishan nitaishi na watoto Wangu . ila moyo unasema hapana kuna wanawake wema.
Refer ,,, kuna professor wangu anaitwa mushi ...huyu bwana licha yakua na Mali ,anawatoto lkn haishi na mwanamke ,,
Siku moja nikamuuliza ,,Prof ,ivi nikwann Huishi namwanamke na unakila kitu ,,mishahara kwa mwezi anapiga mpaka million 20 .
Alinijibu.
Mwanangu ,,, unaweza ukawa umekamilika kwa kila kitu ,,nashida yako ikawa ni * chai yamaziwa *
Nikamwambia eeehhhhh,,, akaendelea .....waweza fuga ng'ombe ukamtafutia mchungali ,ukagaramika kumtunza na huduma ..ukakubali harufu ya kinyesi chake ,,na kila aina ya kero .......Lkn mwingine yeye kwakua anapesa akaona kuliko kupata usumbufu km huo yeye atakua ananunua maziwa kila atakapoyaitaji .
Akasema yeye amechagua kua mnunuzi Wa maziwa kila anapohitaji .
Kwakweli ,, kuna wanawake wanaweza kukua na presha.
Alafu toka niwe mwanachama wahiyo sheria ,, sijawahi kuumizwa katika jambo.Nimemwelewa sana Prof. wako aiseeeh wacha na mimi niungane nae kwenye huo mpango wa kununua maziwa badala ya kufuga ng'ombe
Mwenyewe mwanzo sikuwaigi kumwelewa ila nilikuja kugundua baadaeeee.Nimependa Bure Hayo Majibu na mifano ya mifano yake
Kwani prof Lipumba ana mke au na yeye ananunua maziwa?Duuuhhh kuna baadh yamambo jaman huwa yananifanya nihisi kua mimi maishan nitaishi na watoto Wangu . ila moyo unasema hapana kuna wanawake wema.
Refer ,,, kuna professor wangu anaitwa mushi ...huyu bwana licha yakua na Mali ,anawatoto lkn haishi na mwanamke ,,
Siku moja nikamuuliza ,,Prof ,ivi nikwann Huishi namwanamke na unakila kitu ,,mishahara kwa mwezi anapiga mpaka million 20 .
Alinijibu.
Mwanangu ,,, unaweza ukawa umekamilika kwa kila kitu ,,nashida yako ikawa ni * chai yamaziwa *
Nikamwambia eeehhhhh,,, akaendelea .....waweza fuga ng'ombe ukamtafutia mchungali ,ukagaramika kumtunza na huduma ..ukakubali harufu ya kinyesi chake ,,na kila aina ya kero .......Lkn mwingine yeye kwakua anapesa akaona kuliko kupata usumbufu km huo yeye atakua ananunua maziwa kila atakapoyaitaji .
Akasema yeye amechagua kua mnunuzi Wa maziwa kila anapohitaji .
Kwakweli ,, kuna wanawake wanaweza kukua na presha.
Hii inahtaj uwe na roho ya paka, wale wa kiroho papu hatuwez mkuuNitalala zangu tu mkuu...ukiumiza kichwa utajitesa tu...Kama mke ni mwaminifu ni mwaminifu tu kama ni kicheche ni kicheche tu!
Hahah,nitanyanyua mguu kuelekea mbele hiyo hatua inaitwa kutembea
ndio hivyo mkuuHii inahtaj uwe na roho ya paka, wale wa kiroho papu hatuwez mkuu
Nimeipenda hiyo lifestyle ya prof, lakini sijaipenda kuiishi [emoji3]Duuuhhh kuna baadh yamambo jaman huwa yananifanya nihisi kua mimi maishan nitaishi na watoto Wangu . ila moyo unasema hapana kuna wanawake wema.
Refer ,,, kuna professor wangu anaitwa mushi ...huyu bwana licha yakua na Mali ,anawatoto lkn haishi na mwanamke ,,
Siku moja nikamuuliza ,,Prof ,ivi nikwann Huishi namwanamke na unakila kitu ,,mishahara kwa mwezi anapiga mpaka million 20 .
Alinijibu.
Mwanangu ,,, unaweza ukawa umekamilika kwa kila kitu ,,nashida yako ikawa ni * chai yamaziwa *
Nikamwambia eeehhhhh,,, akaendelea .....waweza fuga ng'ombe ukamtafutia mchungali ,ukagaramika kumtunza na huduma ..ukakubali harufu ya kinyesi chake ,,na kila aina ya kero .......Lkn mwingine yeye kwakua anapesa akaona kuliko kupata usumbufu km huo yeye atakua ananunua maziwa kila atakapoyaitaji .
Akasema yeye amechagua kua mnunuzi Wa maziwa kila anapohitaji .
Kwakweli ,, kuna wanawake wanaweza kukua na presha.
Uzeeni hataweza kununua maziwa na mke atamsiri zile siku za kibofu kuleta matatizo kutokana na uzeeDuuuhhh kuna baadh yamambo jaman huwa yananifanya nihisi kua mimi maishan nitaishi na watoto Wangu . ila moyo unasema hapana kuna wanawake wema.
Refer ,,, kuna professor wangu anaitwa mushi ...huyu bwana licha yakua na Mali ,anawatoto lkn haishi na mwanamke ,,
Siku moja nikamuuliza ,,Prof ,ivi nikwann Huishi namwanamke na unakila kitu ,,mishahara kwa mwezi anapiga mpaka million 20 .
Alinijibu.
Mwanangu ,,, unaweza ukawa umekamilika kwa kila kitu ,,nashida yako ikawa ni * chai yamaziwa *
Nikamwambia eeehhhhh,,, akaendelea .....waweza fuga ng'ombe ukamtafutia mchungali ,ukagaramika kumtunza na huduma ..ukakubali harufu ya kinyesi chake ,,na kila aina ya kero .......Lkn mwingine yeye kwakua anapesa akaona kuliko kupata usumbufu km huo yeye atakua ananunua maziwa kila atakapoyaitaji .
Akasema yeye amechagua kua mnunuzi Wa maziwa kila anapohitaji .
Kwakweli ,, kuna wanawake wanaweza kukua na presha.
Nyie wanawake sometimes mnazingua sana aiseehuna mtu mwingine wa kumnyanyulia waya? I mean msaidizi wa wife? teh
Hiyo mbinu alikuwa anatumia mke wangu namemwaacha aheme vizuri bila bughudha kwa raha zake.Umesafiri, haupo nyumbani.
Usiku unampiga simu mke wako umjulie hali hamjaongea kutwa nzima. Ile mmeanza tu kuongea, mara paaap, wife anakwambia kwa papara huku akihema kwa nguvu "samahani baby hebu kata simu mara moja kuna simu ya maana hapa inaingia". Unakata, unasubiri amalize akupigie. Anaongea kwa muda mrefu hadi unapitiwa na usingizi, unalala. Ile unashtuka umpigie, unacheki simu unakuta amekutumia kaujumbe "G9T". Unajaribu kumpigia, unakuta simu yake imezimwa.
Huo usingizi utalalika kweli? Utachukua hatua gan?