Kasindogo ya uandikishaji imesababisha wananchi wa wilaya tunduru kulala vituoni kusubiri kupata vitambulisho,kituo kinachoongoza watu kukesha shule ya msingi muungano kwa zaidi ya siku 3 mfululizo,kituo cha stend ya mabasi(tarafani),nakayaya mashariki (cdc).baadhi ya vituo kwa siku wastani uandikishaji ndani siku 3ni chini ya40.na kila kituo kina wapiga kura zaidi 2000.siku za kujiandikisha 7.sijui kama tutafika
Jamani tunakwenda wapi na tunatoka wapi! Hivi pesa za mbio za mwenge zinawezaje kupatikana za kununulia kit za kutosha kwa ajili ya daftari zikosekane? Mbona bunge maalum la katiba lilipewa pesa bila kuchelewa lakini kununua vifaa vya kutosha kwenye hii bvr inakuwa tabu? Hapa kuna mchezo mchafu unaratibiwa na magamba.
Mkuu ndio haswa lengo la magamba ,lkn penye wengi pana mungu wajue kuwa wapenda haki ni wengi kuliko hayo manyonyaji
Kama kujiandikisha tu ni balaa namna hii, Siku ya kupiga kura si ndio tutapiga mwezi mzima!!?
Safari hii hata waje na janja gani wananchi tunakomaa nao. Hatuwapi nafasi hata ya kupumua kwani ukitaka kumuwa nyani usimwangalie usoni. Ni nafuu kukaa siku7 bila ya kula wala kulala kuliko kukaa miaka5 bila ya afya bora,elimu bora,maji safi na salama,umeme WA uhakika,Barabara zenye kueleweka sio hizi ambazo zinazinduliwa kwa shangwe but after one year hamna kitu. Ndio maana makamanda tunasema HAKUNA KULALA HAKUNA KULA MPAKA KIELEWEKE. Mapambano dhidi ya dhulma,kudai haki ni magumu sana. Lakini mwaka huu ni mwaka wa mabadiliko NO RETREAT NO SURRENDER, mapambano yanaendelea.
Wambie hao vijana waliokosa uvumilivu kwamba SAA YA UKOMBOZI NI SASA na ule mpango wa kujaza mikutano ya chadema bila ya kujiandikisha ni kazi bure.Pia wambie kwamba ukombozi wa nchi hii unategemea zaidi vijana na kitendo chochote cha retreat and surrender ni usaliti usio na mfano. VIJANA LAZIMA TUAMKE TAIFA LINATUTEGEMEA SISI.Songea mtu mmoja Anaandikishwa kwa Dakika 15-17, watu wanaamka saa kumi usiku kupanga foleni, wanawake ndio wanaojitokeza kwa wingi, wanaume ni wachache, vijana wengi watashindwa kujiandikisha Kwa sababu wengi si wavumilivu na pia Muda huo wa kupanga foleni saa kumi asubuhi hawana wengi wana Muda wa kwenda kutafuta pesa.
Asante sana mwalimu wangu respect wa boda. Kuhusu hamasa ya mabadiliko kijijini wangu ipo juu sana ndio maana magamba tumeyatokomeza kusikojulikana. Kwa kijiji hichi hata kama kwa siku watandikisha watu2,hakuna mwanakijiji atakaevunjika moyo na kurudi nyumbani Bali ndipo watapozidi kujazana vituoni pamoja na watoto wao. Watapikia hapo hapo vituoni na kulala hapo hapo vituoni. HII NDIO UKEREWE BHANA HATA PIUS MSEKWA ANALIJUA HILO. By the way kamanda wangu Jana nilikuPM kama ulivyonifahamisha lakini naona haukunijibu.Nimependa sana hoja zako hizi, hakika kwa uelewa huu na ukabahatika kuwa na kipaji cha kushawishi watu wengi ambao watakuunga mkono sehemu unayoishi, Then ni ukombozi uliodhahiri.
Wanavijiji wengi wakijua kupuuza Kanga,vitambaa na mahongo mengine mengi kama pombe toka kwa ccm na wakajari kupata Barabara Afya na huduma zingine za msingi. Hakika mwisho wa kuondoka kwa ccm kutakuwa kumewadia.
Hongera mkuu kwa mawazo hayo.
BACK TANGANYIKA
Hadi waje wanifikie mimi huku mpanda namanyere itakuwa 2025