hcho cha OD ni over drive kinapaswa kuwa on mda wote ndo mana ukitoa inaleta ujumbe OD off ....ujumbr huo ukija ni kwmba umezuia.gar kutembelea na zile gia ambazo ni over drive mfano 1st -2.76:1
2nd- 1.59:1
3rd - 1;1
4th -0.696:1
OD ikiwa off means unatembea na.mwisho gia tatu kwa gia box hiyo hapo juu no 4 ni over drive yan engine speed ni low than output shaft kutoka kweny gia box