Butter trade kwa aliye tayari


integral sign

integral sign

Senior Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
159
Likes
4
Points
35
integral sign

integral sign

Senior Member
Joined Jul 13, 2013
159 4 35
Nina galaxy s2 original frm korea. Ni used for 3months. 16gb internal memory, 1gb ram. Camera ina 8mp na ni auto flash.

Nataka tubadilishane na cm inayofanana na hiyo at least. Brand iwe ya sony experia(itakuwa more preferred), htc, blackberry ila isiwe kampuni ya APPLE .
Ram ndio kigezo kikubwa ikiwa kuanzia 760mb had 2gb itakuwa poa.
N.b. itategemeana na cm utakayo kuwa nayo either utaongeza pesa au nitakuongeza pesa.

Nawaclisha. JUST PM utajibiwa
 

Forum statistics

Threads 1,250,676
Members 481,436
Posts 29,741,384