Busu la Nyani Tamuuuuu........

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,229
36,250
images (5).jpeg


Nyaani mkinda tumkindule, kasoro visiwa vya mwanabuba...
Mwanabuba gani ni mdodo,
Imkulu dawa, mwanabuba.!!

Kama hujawahi kulipata usijaribu.

NB: mliokuja mbiombio na kutarajia mlichofikiria akilini mwenu poleniii eehehehheheeeee.

Kasinde Platinum Matata.
 
Nikajua hapa anaongelewa rais wetu sie wabeba box the baharia himself Nyani Ngabu the platinum

Haahahahhahahahaaa hamnaaa wala sio huyooo, Nyani wa humu mie simuwezi mambo zake mazitoo.

Nikitaka kuongea English na kumchokoza ndo namtafuta laaah Mahaba yote na busu la moto kwa Dadii wa Kasie.
 
Wacha wee

Rafiki mambo....

Habari za masiku tele....

Nimekuhamuu....

Nimehamu na kile kinywaji chetu cha chocolate.... Sijakinywa kitambooo....

Ntakufurahikwa sana tukijumuika tena pamoja kwa kupata kikombe cha kinywaji cha chocolate ya motoo....

Kasinde Platinum Matata.
 
Rafiki mambo....

Habari za masiku tele....

Nimekuhamuu....

Nimehamu na kile kinywaji chetu cha chocolate.... Sijakinywa kitambooo....

Ntakufurahikwa sana tukijumuika tena pamoja kwa kupata kikombe cha kinywaji cha chocolate ya motoo....

Kasinde Platinum Matata.
Shaka hakuna.

Mimi ni Mzima wa AFYA nashukuru sana.

Ahsante sana Kasie.

Nimecheka hapo Kasinde Platinum Matata
 
Back
Top Bottom