Part 2
Hii ni ubunifu wa landscaping kwa wenye maeneo makubwa, ma hotel. Kumbi za mikutano lakini vilevile maeneo ya wazi katikati ya miji
Maeneo ya wazi ni muhimu ili kuupa mji nafasi ya kupumua lakini vilevile kuruhusu wananchi kupumzika.. Hivyo ni muhimu kujenga mandhari za kuvutia