M mseveni Senior Member Joined Nov 22, 2012 Posts 125 Reaction score 19 Dec 30, 2013 #1 hi wanajf .Nina salon ya kike huku Moshi , kama kuna mtu anauza urembo na vipodozi tuwasiliane Ili tuweze Kufanya biashara
hi wanajf .Nina salon ya kike huku Moshi , kama kuna mtu anauza urembo na vipodozi tuwasiliane Ili tuweze Kufanya biashara
pozzyfaza JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,453 Reaction score 268 Dec 30, 2013 #2 Ok, m7 niliona private msg. mm nafanya biashara hiyo kwa sasa hv nipo tunduma. mara nyingi nachukua product kutoka zambia. je hua unachukua mzigo kuanzia wa sh. ngap
Ok, m7 niliona private msg. mm nafanya biashara hiyo kwa sasa hv nipo tunduma. mara nyingi nachukua product kutoka zambia. je hua unachukua mzigo kuanzia wa sh. ngap