Mbona kila workshop ni dar? Nyie watu njoeni na mpwapwa.
tell them mkuu wafike na vijijini pia
kila kitu daslam vijijini wanatusahau.
una uhakika?tatizo watu wa vijijini hawawezi kulipa hiyo ENTRACE FEE
yes am sure thus why iposted it.una uhakika?
Kwanza kabisa Asanteni sana kwa kunipokea na kuwa mwanachama wa JF. Nimependa sana mawazo na comments zenu kwa ujumla. Mimi ni graduate wa BA in Sociology from (SAUT) last year 2010 jamani nimetafuta kazi sijapata ndugu zangu nisaidieni maana hii nchi yetu imekuwa "Technical know how" bila hilo kazi inakuwa ngumu ndugu zangu kwa yeyote yule anayeweza kunipatia japo dondooo please nisaidieni jamani but by then am working as a volunteer katika NGO moja hivi nimeamua kufanya hivyo japo nipate experience na kutengeneza my CV. Tusauidiane jamani ndugu zangu. Thanks