Business partner

Business partner

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,288
Reaction score
5,762
Nahitaji mtu anayefanya biashara ya rejareja Arusha tushirikiane naye. Awe ameshaanzisha na iwe kwenye eneo lenye usalama na iwe na mtaji unaozunguka
 
Mimi ninayo biashara ya kuuza madini yaliyokatwa,wewe una kitu gani? Lazima kwanza tujue tunashirikiana kwa vitu gani.
 
Back
Top Bottom