Business partner anahitajika – Punguzo hub

Newcastle1234

Member
Joined
Oct 29, 2022
Posts
96
Reaction score
210
πŸš€ BUSINESS PARTNER ANAHITAJIKA – PUNGUZO HUB

Tunatafuta Business Partner/Investor mwenye uwezo wa kuwekeza TSh 10,000,000 katika PUNGUZO HUB β€” platform inayowaunganisha wateja na bidhaa/huduma zenye punguzo Tanzania.

πŸ’° Investment: TSh 10,000,000
🀝 Aina: Business Partnership / Equity Investment
πŸ“ˆ Fursa: Kushiriki katika ukuaji na mafanikio ya PUNGUZO HUB.

πŸ“© Interested? Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi:
Email:mesha.gobba1@gmail.com
WhatsApp: 0788893364


PUNGUZO HUB – Where Endless Discounts Meet You.
 
Mpaka sasa ina Partners wangapi? Hiyo 10m ni % ngapi? Ofisi zenu ziko wapi? Taasisi inajihusisha na nini? Partners wanafaidika vipi? I mean Profit & Loss sharing!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…