gorretti54
Member
- Jun 21, 2012
- 53
- 17
Sijakuelewa hapo kujiunga na nyinyi ni bure. BURE kivipi? Hata forever living ni bure lakini ni lazima ununue products ili uwe member. Unaweza kujiunga bure halafu iweje?unakaa bila kununua products? GNLD najua ndiyo huwa kuna joining fee na fee ya ku renew kila mwaka. Ndugu yangu katika kusaka mafanikio hakuna kitu kirahisi ama sivyo kila mtu angekuwa tajiri hapa duniani. Lakini matajiri ni kiduchu tu na itaendelea kuwa hivyo mpaka mwisho wa nyakati.Mimi sipondi kampuni zingine wala yenu hapa natoa facts ndugu....bado hujaboreka na kukata tamaa vizuri kuna vitu vingi sana navijua ambavyo nyie hamvijui na hao ma upliner wenu wanawaficha sana wanakula hela zenu nyingi tu.....ukivijua utakuja kumwaga kilio kipindi hicho ushapoteza pesa nyingi na muda (yetu macho, tuombe uhai).... ni vile design nashindwa kuviandika hapa....ni vya kuelezewa kwa ukaribu zaidi. Kama huamini hujawahi kujiuliza kwanini some forever living top distributors wa nigeria hawapendi kusema ni mbinu gani wanatumia biashara zao za flp zinafanikiwa ?? Kuna watu hapa Tanzania wanajua sema wameuchuna tu...kwanza kujiunga na sisi ni BURE. Sisi tumejipanga na tutahakikisha Network Marketing ina pata jina zuri na kubwa Tanzania na Africa yote kwa ujumla...enough is enough, Hatutaki kuona watu wananyanyasika tena !! kuhusu bidhaa kutengenezwa na top doctors na leading experts sioni tatizo kubwa...kama kweli kitu kimetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu na kimezibitishwa na mashirika makubwa ya kisayansi...kwanini usitangaze kwa watu sasa ?? na certificates tunazo za kutosha tu... Lazima mtu ajue anatumia kitu cha quality kubwa na kwa bei nafuu sio bla bla nyingi. Personal development na goal setting ni vitu vizuri lakini mazingira ya kazi nayo yaruhusu basi....ni sawa sawa unafanya mazoezi ya pumzi then unapewa kazi ya kubeba mizigo mizito (completely inverse/ no correlation). Maisha yako hayatabadilika kama usipo jaribu jifunza ukweli ninaokwambia (si shangai mimi nilikua kama wewe hapo awali)...for more details about my business ni PM.
Goodluck.
Kama upline wako alikuficha kitu ili afanikiwe yeye tu basi hiyo siyo MLM. Ni biashara ya maandazi. Msingi mkuu wa kufanikiw ktk MLM ni kuwaonyesha downlines wako kila kitu kinachokufanya wewe ufanikiwe. Usipowaonyesha unavyofanikiwa je wewe utafanikiwaje?Mimi sipondi kampuni zingine wala yenu hapa natoa facts ndugu....bado hujaboreka na kukata tamaa vizuri kuna vitu vingi sana navijua ambavyo nyie hamvijui na hao ma upliner wenu wanawaficha sana wanakula hela zenu nyingi tu.....ukivijua utakuja kumwaga kilio kipindi hicho ushapoteza pesa nyingi na muda (yetu macho, tuombe uhai).... ni vile design nashindwa kuviandika hapa....ni vya kuelezewa kwa ukaribu zaidi. Kama huamini hujawahi kujiuliza kwanini some forever living top distributors wa nigeria hawapendi kusema ni mbinu gani wanatumia biashara zao za flp zinafanikiwa ?? Kuna watu hapa Tanzania wanajua sema wameuchuna tu...kwanza kujiunga na sisi ni BURE. Sisi tumejipanga na tutahakikisha Network Marketing ina pata jina zuri na kubwa Tanzania na Africa yote kwa ujumla...enough is enough, Hatutaki kuona watu wananyanyasika tena !! kuhusu bidhaa kutengenezwa na top doctors na leading experts sioni tatizo kubwa...kama kweli kitu kimetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu na kimezibitishwa na mashirika makubwa ya kisayansi...kwanini usitangaze kwa watu sasa ?? na certificates tunazo za kutosha tu... Lazima mtu ajue anatumia kitu cha quality kubwa na kwa bei nafuu sio bla bla nyingi. Personal development na goal setting ni vitu vizuri lakini mazingira ya kazi nayo yaruhusu basi....ni sawa sawa unafanya mazoezi ya pumzi then unapewa kazi ya kubeba mizigo mizito (completely inverse/ no correlation). Maisha yako hayatabadilika kama usipo jaribu jifunza ukweli ninaokwambia (si shangai mimi nilikua kama wewe hapo awali)...for more details about my business ni PM.
Goodluck.
There are few business opportunities today that allow the average individual the power of Metcalfes Law except Network Marketing. The theory of computer network growth, Metcalfes Law states that the economic value of a network grows as the square of the number of its users increase. Metcalfe's Law is often cited as an explanation for the rapid growth of the Internet today and can be used to explain the rising wave of information technology that we are riding in the 21st Century. However, even with this knowledge, it can be difficult to convince others of Network Marketings power due to its virtual cyber status.
The average persons view of Network Marketing or MLM could still be that of a pyramid--far from what Network Marketing truly is and an important subject to address in your Network Marketing Training.
As a Networker who desires success and all the benefits of the industry, your first job is to duplicate yourself. The almost magical results of a good compensation plan begin with you cloning yourself and your efforts with another person. This is when you will start to see the power of duplication and grow exponentially experiencing firsthand Metcalfes Law.
Robert Metcalfe co-invented the Ethernet in 1973 and is credited for defining Metcalfes Law in 1980. Metcalfes Law definition is a Networks Economic Value = Number of Users, squared. For example, Facebook with only one registered user was essentially useless. When 100 users signed up, however, it became more attractive and beneficial for each individual user. Then, when a 1,000 people opted in, it became even better. Facebook is literally a story of the more the merrier as the site becomes more useful, enjoyable, and valuable.
Using the Power of Metcalfes Law not only as a tool to define the industrys business model, but to also show how ones efforts can be exponentially multiplied, is a smart strategy that your prospects can relate to and understand in your Network Marketing Training. This will also better explain how that first commission of $2.34 that you earned in your first month with Amway grew into a residual check of $1,000s of dollars each and every month.
Sijakuelewa hapo kujiunga na nyinyi ni bure. BURE kivipi? Hata forever living ni bure lakini ni lazima ununue products ili uwe member. Unaweza kujiunga bure halafu iweje?unakaa bila kununua products? GNLD najua ndiyo huwa kuna joining fee na fee ya ku renew kila mwaka. Ndugu yangu katika kusaka mafanikio hakuna kitu kirahisi ama sivyo kila mtu angekuwa tajiri hapa duniani. Lakini matajiri ni kiduchu tu na itaendelea kuwa hivyo mpaka mwisho wa nyakati.
Mimi nadhani labda ulikuwa na upline mbaya wakati upo FLP au wewe ni mtu wa kukata tamaa mapema kabla hujajifunza kila kitu na labda vilevile unataka kupata mafanikio kirahisirahisi.
Mbona ma upline wengi wanatoa masaada mkubwa sana kwa downlines...kwenye biashara ya network marketing bila ya kumsaidia na kumpa ujanja downline wako wewe utafanikiwa vipi?
Top distributor wa flp africa(John Ekperigin) nilikwenda kumuona mwenyewe JB belmont hotel alipokuja na jamaa alieleza vitu vizuri tu. Nataka unijibu hili swali. Hivi kwenye network marketing unaweza kufanikiwa vipi bila kuwa coach downlines wako wa copy kile unachokifanya wewe?
Hii siyo biashara ya chapati ya kufichana siri ya viungo. Hii ni biashara ya kushikana mkono, kuleana, kusaidiana mpaka hapo downline wako atakapoweza kusimama mwenyewe na yeye kuanza kuduplicate tricks and techniques zako kwa downlines wake. Duplication of Efforts.
Mimi nadhani unahitaji kutulia hata kwenye hiyo kampuni yako. Nadhani kinacho count sanavkwenye hii biashara sidhani ni ubora wa bidhaa au marketing plan. Kinachocount sana ni wewe mwenyewe ni mtu wa aina gani. kama ni mtu wa kukimbiakimbia utashindwa tu hata kwenye hiyo kampuni yako mpya. Maana watu wanaofanikiwa kwenye haya makampuni ni wale wanaonaamua kweli kujifunza na kufanya hii biashara kwa jinsi inavyotakiwa.