Lakini kaka husikate tamaa ebu jaribu kutafuta ubalozi wao kama haupo hapo tz...nenda kwe ubalozi wa uae au nchi yoyote ya arabuni...maana sasa baada ya arab revolution watu wengi wanatorosha pesa zao nje ya nchi zao kwa kuziwekeza kwa njia hiyo...kama nilivyokwambia hapa dubai nina marafiki wengi sana wa syria na ilo jina la huyo bwana al asad ni familia ya kitajiri sana syria wametawala nchi ile kwa takribani miaka 35,na sasa familia hiyo inaelekea kuanguka so it can be a way to keep their money safe out of syria...jaribu kufuatilia,hawa waarab nimeishi nao hapa dubai zaidi ya miaka 6 nawajua...kuna siku miaka ya nyuma nilipokuwa mgeni 2006 nilikuwa nafanya kazi kwenye hotel moja kubwa ya kitalii..kuna bwana mmoja al asad family alikuja hotelini kwetu...siku alipo check out aliacha sehemu ya kuwekea pesa (safe)ikiwa imefungwa,baada ya kuifungua tulikuta $40000 tulipotafuta contact zake ni kumpigia simu alikataa akasema hakumbuki...imagine!!!!mtu hakumbuki kuwa amesahau zaidi ya 60ml za bongo !!!!!sasa nakwambia fuatilia..mpe contact zako..na hawa waarabu wanaamini sana katika kutoa the power of giving +971504374387 dubai...naomba nikupe story yangu..siku moja nilikuwa tz nikaamua kutafuta kazi online kuna kampuni moja dubai wakanitumia ticket na visa bila hata ya interview waliniomba passport tu !!!!baba yangu na watu wengine wakasema haiwezekani kupata ki urahisi hivyo..lakini nikaamua kuja nilipofika airport nilikuta watu wakiwa na bango lenye jina langu na ndivyo nilivyoanza jaribu!!!!