Its Tesha Senior Member Joined Oct 6, 2025 Posts 168 Reaction score 606 Oct 14, 2025 #1 Ulikuwa mtu mwema kipindi cha uongozi wako, lakini leo watanzania wanakulilia. Umeiuza nchi kwa majambazi.Watanzania wanakufa, wanateswa sababu uliamua hawa wahuni wapewe nchi.
Ulikuwa mtu mwema kipindi cha uongozi wako, lakini leo watanzania wanakulilia. Umeiuza nchi kwa majambazi.Watanzania wanakufa, wanateswa sababu uliamua hawa wahuni wapewe nchi.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 58,242 Reaction score 167,280 Oct 14, 2025 #2 Kwani katiba ilikua inasema nini ? Au ni kakijitabu tu?