Busara za Polepole

wanasema upaswi kumwamini shetani hata akisema ukweli.
si ndio yeye aliupinga ukuu wa wilaya wakati wa katiba mpya leo kaupokea kwa mikono miwili kesho akipewa mamlaka zaidi ataipinga katiba yote ya warioba kweli tuna safari ndefu ya kupata viongozi bora
 
hayo yote uliyoandika hapo utekelezaji unaishia hapo-hapo kwenye makaratasi ya Polepole.

Hebu mtaarifuni bwana Polepole kuwa twangapepeta halina mwenyewe,
Anapigia mbuzi gitaa
 
Usitegemee kitu chochote cha maana kwa mtu mnafiki!!! Hawezi kuwa na la maana huyo!! Kijana mdogo ambaye unaendeshwa na tumbo huwezi kuwa na maono ya mbali zaidi ya kufikiri kwa tumbo na kutenda kwa masaburi!!!!
Hatutawatukana tena kwamba nyie ni nyumbu,hahahaha
 
Kifupi polepole anaandaliwa kuwa kiongozi MKUBWA.lakini polepole utafanikiwa Na huku mafisi wamejaa CCM Na bado hamuwawezi .kuna watu CCM wamekalia nafasi za uongozi wanakula free.marafiki wa kikwete bado wapo kwenye system ya utendaji
 
Lakini ulivyo mpumbavu unaiamini Chadema
 
Polepole ni mkuu wa wilaya ipi?
 
kwahiyo una maana kwamba harakaharaka ana busara? unajua maana ya busara lakini?
 
"Tusiwatukane watu na tusiwaite watu NYUMBU bali tuache matendo yao yaoneshe wao ni nyumbu kwani huo ndio utu"..Humphrey Polepole - TEMEKE(31/12/2016)
Binaadamu kumfananisha na nyumbu sio kabisa asante kwa kuliona ilo
 
Too late bwana polepole,sasa hivi wananchi hawaitaki ccm tena.
Unachoomba ni huruma bayo tayari wananchi hawako tayari kuongopewa tena.
Utayakumbuka maneno haya.
 
Sahihisha hapo!...labda ulikuwa una maanisha kujing'oa madarakani.

Hakuna chama kwenye sura hii ya dunia kitatawala milele hata kama sio 2020 unachopaswa kujua ni kuwa iko siku CCM hakitaweza kuunda serikali na nwisho huo uko jirani kuliko wewe unavyojiaminisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…