nisaidien,je wakati rufaa inasikilizwa ,lema ataendelea na ubunge?
yap appeal ni cheap zaidi, ikishindikana ndio kwenda kwenye uchaguzi. Kama ni kweli wali weza ku influence mahakama basi tume ndio rahisi zaidi. Jambo lingine watanzania tukumbuke ukiacha hii hukumu hivi itajenga precedence hivyo bora itenguliwe kama judge alikosea.
yap appeal ni cheap zaidi, ikishindikana ndio kwenda kwenye uchaguzi. Kama ni kweli wali weza ku influence mahakama basi tume ndio rahisi zaidi. Jambo lingine watanzania tukumbuke ukiacha hii hukumu hv itajenga precedence hivyo bora itenguliwe kama judge alikosea.