R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 17,298 Reaction score 24,197 Jun 16, 2024 #1 Basi la mwendokasi limepata ajali baada ya kuacha njia na kuvamia jengo la jmall Bahati mbaya nimeshindwa kupata picha.
Basi la mwendokasi limepata ajali baada ya kuacha njia na kuvamia jengo la jmall Bahati mbaya nimeshindwa kupata picha.
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,311 Reaction score 109,418 Jun 16, 2024 #2 Hongera kwa kua wa kwanza kutuletea habari
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,311 Reaction score 109,418 Jun 16, 2024 #3 Hongera kwa kua wa kwanza kutuletea habari
Saad30 JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 3,231 Reaction score 6,334 Jun 16, 2024 #4 rodrick alexander said: Basi la mwendokasi limepata ajali baada ya kuacha njia na kuvamia jengo la jmall Bahati mbaya nimeshindwa kupata picha. Click to expand... Hakuna eliyekufa katika hiyo ajali?
rodrick alexander said: Basi la mwendokasi limepata ajali baada ya kuacha njia na kuvamia jengo la jmall Bahati mbaya nimeshindwa kupata picha. Click to expand... Hakuna eliyekufa katika hiyo ajali?
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,311 Reaction score 89,479 Jun 16, 2024 #5 JMall ipo wapi?
D Deleted01 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2018 Posts 3,206 Reaction score 7,577 Jun 16, 2024 #6 Umenikumbusha breaking news za wa kukurupuka, hahaha
Msakaa Jr JF-Expert Member Joined May 18, 2017 Posts 7,390 Reaction score 7,838 Jun 16, 2024 #7 Deleted01 said: Umenikumbusha breaking news za wa kukurupuka, hahaha Click to expand... Yule jamaa sijui alipotolea wapi
Deleted01 said: Umenikumbusha breaking news za wa kukurupuka, hahaha Click to expand... Yule jamaa sijui alipotolea wapi
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,009 Reaction score 17,461 Jun 16, 2024 #8 rodrick alexander said: Basi la mwendokasi limepata ajali baada ya kuacha njia na kuvamia jengo la jmall Bahati mbaya nimeshindwa kupata picha. Click to expand... Kama picha huna unafanya nini hapa? Lier!
rodrick alexander said: Basi la mwendokasi limepata ajali baada ya kuacha njia na kuvamia jengo la jmall Bahati mbaya nimeshindwa kupata picha. Click to expand... Kama picha huna unafanya nini hapa? Lier!
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,881 Reaction score 129,910 Jun 16, 2024 #9 Mad Max said: JMall ipo wapi? Click to expand... Samora Avenue na Morogoro road junction. J mall iko jirani na PSSSF TOWER. Ukitoka mnara wa askari kuelekea station kwenye mataa kushoto.
Mad Max said: JMall ipo wapi? Click to expand... Samora Avenue na Morogoro road junction. J mall iko jirani na PSSSF TOWER. Ukitoka mnara wa askari kuelekea station kwenye mataa kushoto.
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,881 Reaction score 129,910 Jun 16, 2024 #10 rodrick alexander said: Basi la mwendokasi limepata ajali baada ya kuacha njia na kuvamia jengo la jmall Bahati mbaya nimeshindwa kupata picha. Click to expand... Kuna picha inaonesha na Range Rover imehusika au mmeitoa makusudi?
rodrick alexander said: Basi la mwendokasi limepata ajali baada ya kuacha njia na kuvamia jengo la jmall Bahati mbaya nimeshindwa kupata picha. Click to expand... Kuna picha inaonesha na Range Rover imehusika au mmeitoa makusudi?
S Shotocan JF-Expert Member Joined Nov 21, 2023 Posts 9,939 Reaction score 15,945 Jun 16, 2024 #11 Theempire said: Hakuna aliyekufa katika hiyo ajali? Click to expand... Jumapili ni Siku ya Yesu kufufuka hakuna anayekufa Kwa ajali jumapili ajali nyingi watu hufa ijumaa Siku wanayosali waislamu
Theempire said: Hakuna aliyekufa katika hiyo ajali? Click to expand... Jumapili ni Siku ya Yesu kufufuka hakuna anayekufa Kwa ajali jumapili ajali nyingi watu hufa ijumaa Siku wanayosali waislamu
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,122 Reaction score 111,813 Jun 16, 2024 #12 Shotocan said: Jumapili ni Siku ya Yesu kufufuka hakuna anayekufa Kwa ajali jumapili ajali nyingi watu hufa ijumaa Siku wanayosali waislamu Click to expand... Udini ni mbaya sana.
Shotocan said: Jumapili ni Siku ya Yesu kufufuka hakuna anayekufa Kwa ajali jumapili ajali nyingi watu hufa ijumaa Siku wanayosali waislamu Click to expand... Udini ni mbaya sana.
C Conquistador JF-Expert Member Joined Jun 10, 2024 Posts 1,435 Reaction score 3,497 Jun 16, 2024 #13 Half american said: Udini ni mbaya sana. Click to expand... Sio udini mkurugenzi, Huo Ni uwehu
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,122 Reaction score 111,813 Jun 16, 2024 #14 Conquistador said: Sio udini mkurugenzi, Huo Ni uwehu Click to expand... Kabisa, nmeshangaa sana mambo ya ukristo na uislam yameingiaje.
Conquistador said: Sio udini mkurugenzi, Huo Ni uwehu Click to expand... Kabisa, nmeshangaa sana mambo ya ukristo na uislam yameingiaje.
Saad30 JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 3,231 Reaction score 6,334 Jun 16, 2024 #15 Shotocan said: Jumapili ni Siku ya Yesu kufufuka hakuna anayekufa Kwa ajali jumapili ajali nyingi watu hufa ijumaa Siku wanayosali waislamu Click to expand... Naona maombi yamekukolea kijana. Unajihisi wewe ni mwema zaidi ya aleyekuletea hiko kitabu. #ALKEBULAN
Shotocan said: Jumapili ni Siku ya Yesu kufufuka hakuna anayekufa Kwa ajali jumapili ajali nyingi watu hufa ijumaa Siku wanayosali waislamu Click to expand... Naona maombi yamekukolea kijana. Unajihisi wewe ni mwema zaidi ya aleyekuletea hiko kitabu. #ALKEBULAN