mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
jMali very well said
Nafatilia kwa karibu sana mgogoro huu.
Hawa Rwanda hawatatulia mpaka waone Nkurunziza ametoka madarakani. Tatizo ni kwamba mainstream media haitoi taarifa sahihi kuhusu Burundi. wanasema tu idadi ya wanaokufa nothing kuhusu identity zao na uchunguzi wa polisi.
kwa nini wasitulie? kwani Nkurunziza ni raisi wa Rwanda? taarifa sahihi kama zipi na wazitoe kwa nani? polisi wafanye uchunguzi? wao ndio wanakamata innocent civilian na baada ya kuwauwa miili yao huokotwa barabarani? cc: jMalijMali very well said
Nafatilia kwa karibu sana mgogoro huu.
Hawa Rwanda hawatatulia mpaka waone Nkurunziza ametoka madarakani. Tatizo ni kwamba mainstream media haitoi taarifa sahihi kuhusu Burundi. wanasema tu idadi ya wanaokufa nothing kuhusu identity zao na uchunguzi wa polisi.
duh jMali! 80% ya hao marehemu ni wafuasi wa Nkurunziza? umejuaje? je waweza kututhibitishia?you are very right, wamekufa watu zaidi ya 200 lakini zaidi ya 80% ya hao marehemu ni wafuasi wa Nkurunziza!
kwa nini wasitulie? kwani Nkurunziza ni raisi wa Rwanda? taarifa sahihi kama zipi na wazitoe kwa nani? polisi wafanye uchunguzi? wao ndio wanakamata innocent civilian na baada ya kuwauwa miili yao huokotwa barabarani? cc: jMali
duh jMali! 80% ya hao marehemu ni wafuasi wa Nkurunziza? umejuaje? je waweza kututhibitishia?

my friend there is no big picture to look at here, things are very simple! Arusha ambayo ndio imempa madaraka allowes only 2 terms, katiba yao nayo inasema eti unaruhusiwa kutawala awamu mbili iwapo utakuwa umechaguliwa na wananchi! hayo ndiyo yameleta mshikemshike ndani ya Burundi... sasa hayo ya Rwanda... sijuwi Kagame yote yanini kama sio uFDLR wenyewe huo?Mzee tulia kwanza
Soma na ufatilie vizuri hii conflict
umekuja na jazba sana
Look at the bigger picture
haa wapi! kwa nini nianze kuangaika kutafuta vyanzo vya habari wakati tunajuwa ya kwamba Nkurunziza kajiloga mwenyewe? saa zingine mchawi tusiwe tunamtafutia mbali... cc: jMaliUpo mbali sana na huu mgogoro. Jaribu kwanza kutafuta habari toka vyanzo vingine utaelewa mambo machafu ya chini ya carpet kwenye sakata hili.
kwa nini wasitulie? kwani Nkurunziza ni raisi wa Rwanda? taarifa sahihi kama zipi na wazitoe kwa nani? polisi wafanye uchunguzi? wao ndio wanakamata innocent civilian na baada ya kuwauwa miili yao huokotwa barabarani? cc: jMali
duh jMali! 80% ya hao marehemu ni wafuasi wa Nkurunziza? umejuaje? je waweza kututhibitishia?
my friend there is no big picture to look at here, things are very simple! Arusha ambayo ndio imempa madaraka allowes only 2 terms, katiba yao nayo inasema eti unaruhusiwa kutawala awamu mbili iwapo utakuwa umechaguliwa na wananchi! hayo ndiyo yameleta mshikemshike ndani ya Burundi... sasa hayo ya Rwanda... sijuwi Kagame yote yanini kama sio uFDLR wenyewe huo?
haya sasa, nakuomba uthibitisho wako lakini bado unakuja na story tu... nnacho juwa mimi ni kwamba ukiona mtu Burundi siku hizi kachukuliwa na police basi kesho yake lazima muokote maiti yake barabarani... katika hali ya hivyo nani wa kulaumiwa?Kama Nkurunzinza sio raisi wa Rwanda mbona Mushikiwabo anawashwawashwa kuongelea Burundi? Anyway wamekufa watu zaidi ya 200. Jibu haya maswali kwanza:
1.Katika hao 200+ ni wangapi wameokotwa barabarani na ni wangapi wameuawa kwa mashambulizi ya "sindumuja" ya kurusha mabomu hovyo hovyo? Takwimu zote zinaonyesha waliokufa kwa these random attacks by armed people ndio majority ya wahanga.
2.Katika hao 200+ ni wangapi wanampinga Nkurunzinza na ni wangapi walikuwa wanam-support Nkurunzinza? Takwimu zote zinaonyesha wahanga majority ni CNDD-FDD supporters. Senior gov officials wote wanaomsupport Nkurunzinza wanaishi kwa mashaka kutokana na assassination attempts kila siku, the latest being the mayor of Bujumbura!
3. Katika hao 200+ wangapi ni wahutu na wangapi ni watutsi? Maana mko bize kudai kuna genocide inaendelea wakati majority ya wahanga ni wahutu. Kama ambavyo genocide yenu ya Rwanda ukiuliza statistics unawekwa ndani.
my friend there is no big picture to look at here, things are very simple! Arusha ambayo ndio imempa madaraka allowes only 2 terms, katiba yao nayo inasema eti unaruhusiwa kutawala awamu mbili iwapo utakuwa umechaguliwa na wananchi! hayo ndiyo yameleta mshikemshike ndani ya Burundi... sasa hayo ya Rwanda... sijuwi Kagame yote yanini kama sio uFDLR wenyewe huo?
kwa hiyo wakimbizi ambao kwa hivi sasa wana zidi 200,000 wote wametokea kwenye hizo wilaya tatu unazosema wewe? we acha kumtetea Nkurunziza, kapata uraisi kupitia makubaliano ya Arusha! ambayo yalimruhusu na kumpa fursa ya kuchaguliwa kama raisi mara mbili! sasa leo inakuwaje hadi wanasheria waingie kati kumtetea eti hajaongoza nchi mara mbili? sasa kimenuka, oohh RwandaMahakama mbili zimekubaliana na tafsiri yake, wewe unajua sheria kuliko mahakama? Na 'mshikemshike' uko kwenye wilaya mbili tatu pekee za mji wa Bujumbura. Epuka kutumia neno Burundi as if nchi nzima inawaka moto.
we nae bwana acha story zako... naona we mgumu kuelewa sana! lakini kabla hujaendelea kunifunga hizo kamba zako ningependa niongeze kukuambia haihitaji kuwa mwanasheria kusudi uelewe usaliti wa Nkurunziza kwa wazee waliodhuria makubaliano ya Arusha au warundi waliokubali yaishe kusudi waishi kwa amani... hizo story za kuunga-unga ndio zinatufanya waafrika tusifike pahali...The conflict in burundi is complex than what we read on papers.
Ndo maana nakwambia umekuja na jazba
There are things u dont read on papers maana havizungumziki.
Kama parties from the opposition can dialogue and reach a consensus with the ruling regime, kwa nini wewe unaamini kuhusu FDLR. If at all ingekua ni kweli vyama vya upinzani vingepiga kelele.
mahakama gani hizo? au mojawapo ni ile supreme court ya Burundi ambayo VP wake aliponea chupuchupu baada ya kupinga uhuni wa Nkurunziza na kukimbia nchi? jMali jinsi unavyomtetea Nkurunziza kwa hali na mali, inanifanya niamini kabisa uwepo wa FDLR Burundi bila hata uthibitisho! lazima kutakuwepo na walakini maana hata Mugabe as you know him, says this https://www.youtube.com/watch?v=ldIZ0aPNtboMahakama mbili zimekubaliana na tafsiri yake, wewe unajua sheria kuliko mahakama? Na 'mshikemshike' uko kwenye wilaya mbili tatu pekee za mji wa Bujumbura. Epuka kutumia neno Burundi as if nchi nzima inawaka moto.
haya wewe uliye pitia hizo za kuaminika tuambie basi hayo mambo machafu ya chini ya carpet! acha story za vijiweni mzee, Nkurunziza kajiloga mwenyewe kutokana na utawala wake wa kivivu, Rushwa na kujiibia(kuuza mali za serikali kisiri) warundi walikuwa wanamuhesabia siku ifike awapishe kwa amani!Upo mbali sana na huu mgogoro. Jaribu kwanza kutafuta habari toka vyanzo vingine utaelewa mambo machafu ya chini ya carpet kwenye sakata hili.