For all graduate faster to Nyarugusu Camp!! Greater employment there!!!!Hali inavyoendelea huko Burundi baadhi ya fursa za kibiashara huanza kuchomoza
Chief, unavyojua wewe nani anafanya vurugu Burundi? Al jazeera wameonyesha jinsi wakimbizi wanavyokuwa recruited na nani hasa anafanya vurugu, sio Nkurunzinza anayefanya vurugu. Wakimbizi wenyewe wanasema kwa midomo yao nani anawafadhili kufanya vita.Every one is seeing what transpires in Burundi right now. I can generalize it to be Brutality and Massacre! This young man purporting himself to be an elected president is supposed to be dragged down to ICC in the Hague, so that he pays a fortune equal to his bloody-blood!
Jamani acheni utani!!!, Bujumbura hali ni tete, wananchi wnegi wnauawa kama kuku kila kukicha. Jumuia ya KIMATAIFA ichukue hatua.
Cc:interahamwe wote
Mzee wa jenosaidi upo? bado kwenu sasa. Sijui mtakimbilia wapi na bongo mmenyea kambi.....LOL
Mzee wa jenosaidi upo? bado kwenu sasa. Sijui mtakimbilia wapi na bongo mmenyea kambi.....LOL
Hahaha mi sinaga mazoea na interahamwe kabisaaah,naona fdlr mmeshaingia Burundi na mmeanza kuua kama kawaida yenu? Hivi mlikosea nini Mungu nyie ni damu mkononi mwanzo mwisho duuh