Burundi city gallery

Mi nawaombea tu haya mapinduzi yasiingize nchi kwenye vita tena, maana naona wameshaanza kusimama vizuri, miji imeaanza kupendeza, washirikiane waijenge tu nchi yao. Kuna pendeza sasa.
 
Jiji zuri sana mandhari yake ila maviongozi ndiyo sheeeeeedaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Tofauti na watu wengi tulivofikiri tulizani Burundi ni masikini wa kutupwa

Kiuchumi Burundi wametuzidi kidogo, ni nchi ndogo hivyo hata kuwa-manage watu wake ni rahisi kuliko sisi nchi kubwa yenye watu wengi halafu tunang'äng'änia kitu kidogo
 
Tofauti na watu wengi tulivofikiri tulizani Burundi ni masikini wa kutupwa
mji wao wa bujumbura ni wa kimasikini kuliko hata mwanza. labda kigali kidogo ndio iko sawa na mwanza. nimeona al jazeera mapigano yameshaanza kati ya waasi na jeshi la serikali.
 
mji wao wa bujumbura ni wa kimasikini kuliko hata mwanza. labda kigali kidogo ndio iko sawa na mwanza. nimeona al jazeera mapigano yameshaanza kati ya waasi na jeshi la serikali.
hebu fafanua kidogo waasi na jeshi la serikali tena ? mwanzo kulikuwa na taarifa wanajeshi wametofautiana
 
hebu fafanua kidogo waasi na jeshi la serikali tena ? mwanzo kulikuwa na taarifa wanajeshi wametofautiana
naangalia al jazeera sasaivi, nimeona watu wanakimbiakimbia na kuna moshi wa mapigano unafuka, wamesema those royal to the general wanapigana na wale royal to nkurunziza.vita vya wenyewe kwa wenyewe imeshaanza.
 
kazi ipo hapo kwa hiyo Piere ndoo bass tena maana mambo yanazidi kuharibika , inaelekea Piere anapenda vita sana hata ukiangalia yeye mwenyewe alikuwa kiongozi wa waasi
 
Beautiful, may God protect this land from another war which is roaming around!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…