Burundi bado si shwari

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,096
Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (UNHRC) imesema bado Raia wa Burundi wanaikimbia nchi hiyo wakihofia kukamatwa, kuteswa na kuuawa kutokana na Serikali kutofanya mabadiliko yoyote kuboresha na kulinda Haki za Binadamu

Takribani Warundi 300,000 wanaishi kwenye kambi za Wakimbizi katika nchi mbalimbali huku zaidi ya 100,000 kati yao wakiwa wanahifadhiwa nchini Tanzania pekee

Mgogoro wa kisiasa ulioikumba Burundi katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 unatajwa kuwa chanzo kikubwa cha nchi hiyo kukosa utulivu hadi sasa.
 
Hapa Tanzania pia wameanza kukimbia, mfano mange, wengine wamekimbilia Finland, wengine uingereza n.k.
 
Mbona huko Kigoma wakimbizi raia wa Burundi wanarudishwa kwao kila wiki, ina maana hawajui kama hali ya usalama ni tete?
 
IMG_20170919_133743.jpg
 

Attachments

  • IMG_20170919_133743.jpg
    148.6 KB · Views: 34
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…