AljuniorTz JF-Expert Member Joined Jan 6, 2009 Posts 544 Reaction score 19 Dec 30, 2011 #1 Mwandishi wa Shirika la Utangazaji la BBC; John Ngahyoma amefariki dunia hospitalini leo asubuhi, maziko yake yatafanyika nyumbani kwake Tabata Segerea. Ngahyoma kabla ya kuwa mtangazaji wa BBC aliwahi kufanya kazi ya Radio One na ITV.
Mwandishi wa Shirika la Utangazaji la BBC; John Ngahyoma amefariki dunia hospitalini leo asubuhi, maziko yake yatafanyika nyumbani kwake Tabata Segerea. Ngahyoma kabla ya kuwa mtangazaji wa BBC aliwahi kufanya kazi ya Radio One na ITV.
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,663 Dec 30, 2011 #2 Mkuu Aljunior angalau uwe unapitia na posts za wengine kwanza.
AljuniorTz JF-Expert Member Joined Jan 6, 2009 Posts 544 Reaction score 19 Dec 30, 2011 Thread starter #3 sijaiona, na nime-search similar post haikuleta kitu, so wot cn I do???? Mods wanaweza kuchanganya na iliyopo
sijaiona, na nime-search similar post haikuleta kitu, so wot cn I do???? Mods wanaweza kuchanganya na iliyopo