Ni kweli ndugu yangu Mizambwa, Leo nimesikia kupitia kituo kimoja cha habari kwamba kumbe hata Eneo walipoweka Mnara wa kumbukumbu ya ajali ya Hayati Moringe hapafanyiwi usafi kabisa na ingawa ni barabarani kabisa ktk barabara ya Dodoma-Dar, lakin viongozi wetu huwa hawana hata habari na eneo hilo kabisa, shame enough serikali hii, Sipati mantiki ya swala hili
.....very sad.
hatuombei..... lakini ngoja itokee aje kufa (akiwa mstaafu tayari) mkulu wa sasa pale magogoni. wasanii wote (clouds, bongo flavour, etc) wataifanya tarehe ya kifo chake kuwa ni one big annual countrywide event, ikiambatana na zile pati za kufa mtu!
...Ningefarijika kama SErikali ingeamua kumkumbuka hata kwa kuanzisha taasisi ya kumuenzi kiongozi huyu...
Ningefarijika kama Serikali ingeamua kumkumbuka hata kwa kuanzisha taasisi ya kumuenzi kiongozi huyu, ili viongozi wetu waige mfano wake katika kupanmbana na Rushwa na ubadhirifu wa mali za Umma / uhujumu Uchumi.
Nakumbuka Vita ya Wahujumu Uchumi ilikuwa vita kali sana, kwani Mafisadi wa enzi zile walihaha!!!
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
Sokoine University of Agriculture (SUA) kwa mawazo yangu ni taasisi mojawapo au wadau mnasemaje?
RIP Moringe Sokoine. This I think was the man with the pill to cure our diseases...uvivu, rushwa, uongo, wizi wa mali ya umma,udini etc