balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,560
- 15,222
Je mimba zilisalimika enzi ya uhai wake?Kwa wale waishio Mbezi mtaa wa Temboni_Bwaloni kwa Musuguli kuna huyu dk ana maabara yake karibu na ofisi ya serikali ya mtaa.Amewasaidia wengi toka Kairuki hospital ,Bosch hospital ,Kwa Bigambo Msewe na hata wanafunzi wa St Anne Marie sekondari kwa Musuguli.Jamaa amefariki dunia jana jioni.Mbele yetu nyuma yake ,bwana alitoa,bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe.Mwanga wa milele umwangazie ee baba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimemaanisha hivyo hivyo sijanukuu popote,mmezoea mapokeo ya Rumi unafikiri lazima na mimi niseme kama warumi...nenda na innuendo zako.Maneno mengine hutamki kwa kuwa unaweza kutamka, unapaswa kuwa na mamlaka ya kuyatamka katika eneo stahiki.
Kwa mfano:
Hakimu hawezi kukutamkia "nakufunga miezi sita......." nje ya mahakama.
Eti mwanga wa mi.......!
Mkuu kama alikuwa na suala hilo mimi siwezi sema ,labda useme wewe.Je mimba zilisalimika enzi ya uhai wake?
Mwenyezi Mungu ampumzishe mahala anapostahili
Amin.
R.I.P Dokta.
Chanzo cha kifo ni nini? uzee, ugonjwa, ajali.....
Kifo cha ghafla,alijisikia vibaya alipofikishwa bosch hosp.akakohoa damu ndo nitoleeR.I.P Dokta.
Chanzo cha kifo ni nini? uzee, ugonjwa, ajali.....
Sijauliza aliumwa nini, nimeuliza chanzo cha umauti...ikielezwa tu aliugua inatosha.Ukijua alichokuwa anaumwa nini itakusaidia nini? ndugu na daktari wake ndio wenye jukumu la kujua ugonjwa uliomuuwa.
Siyo kweli kuwa kila mtu ataamua, tunaokolewa si kwa mastahili yetu bali ni kwa neema tu.Hicho ndio cha muhimu na kutafakari itakapofika zamu yetu tutakumbukwa kwa kipi?
Kila mtu anaamua ataenda wapi anapokua hai, tena kama anaamini uwepo wa maisha baada ya kifo.