Bungeni:Mbona unawashwa washwa kaa chini

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,227
Ni kauli ya mwenyekiti wa bunge kama alivyonukuliwa kwenye link attached!

Eng Stella Manyanya na lawama kwa madaktari kusababisha vifo - YouTube

My take:
Hawa wenyeviti wanapatikanaje?
Ivi hayo maneno yakiwekwa kwa Hansard au ata kwa wale tuliona live si inaonesha ukosefu wa busara na hekima kwa huyu mwenyekiti.
Huwezi mwambia mwanamme mwenzako anawashwa washwa!
Jamani sio kila mtu anaweza kuwa mwenyekiti
 
Inawezekana ameambiwa hivyo baada ya kujulikana kuwa ni mfuasi wa Obama na Comeroun.Yetu sisi masikio na macho tu!
 
Bunge la mipasho! wanatumia vibaya rasilimali za hapo, ni heri wangekuwa na kamjengo ka kubanana km kenya, nafikiri tukifanya cost benefit analysis ya gharama za jengo na kinachofanyika humo, bonge la hasara.
 
Kitaa mtu akikuambia ivyo maana yake una hamu ya kukanyagwa!
Haya sio maneno ya kutumika bungeni!
 
Ni mwendelezo wa zile kauli za kuudhi na ikiendelea hivi muda si mrefu watatandikana humo mjengoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…