Bungeni leo.

peho

Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
75
Reaction score
23
Maamuzi ya kura ya siri au ya wazi.kwa nini wasituruhusu wananchi kwa ujumla ipangwe siku tupige kura sie wananchi.kukubali kura ya siri au ya wazi.
 
Lipumba anaomba muongozo kutokana na Mwigulu kutaja Ushoga
 
Mwigulu anaamuriwa afute kauli na Mwenyekiti
 
Anaambiwa na Mwenyekiti Afute kauli na kuomba radhi kwa kusema Mh,JUSA na Mbowe wanataka kuleta Ushoga.
 
Humu n utumbo wa bata tuuu hakuna la maana kabisaaa izo hela wakafanyie mambo mengine kabisaaaa kuliko ziliwe hapo
 
Ni aibu kwa waheshimiwa kwa haya yaliotokea.
 
nimemdharau sana mwigulu nchemba hana busara hata kidogo eti waziri katika serikali.inasikitisha
 
Mm cioni la maana huko nataman nije sehemu ambayo nitaweza kwenda kuanzisha maandamano ili bunge livunjwe warudi kwao hakuna la maana hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…