Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,354 Apr 23, 2012 #21 Jaman,kwa mlio karibu na vyombo vya habari,naombeni mtujulishe nin kinaendelea huko bungeni..hao mawazir wezi,weisha achia ngazi au bado?over
Jaman,kwa mlio karibu na vyombo vya habari,naombeni mtujulishe nin kinaendelea huko bungeni..hao mawazir wezi,weisha achia ngazi au bado?over
de'levis JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 1,222 Reaction score 1,582 Apr 23, 2012 #22 gonga hapa TuneIn Web Tuner
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Apr 23, 2012 #23 Senetor said: Jaman,kwa mlio karibu na vyombo vya habari,naombeni mtujulishe nin kinaendelea huko bungeni..hao mawazir wezi,weisha achia ngazi au bado?over Click to expand... sitegemei kipya toka bungeni angalia mwitikio wa wabunge wa CCM kwenye kusaini, naona watu wanasubiri kwa hamu lakini kipya ni kuwasilishwa hoja tu, wabunge wa CCM kwa umoja wao wataipinga tu unless waamue kufanya suprise
Senetor said: Jaman,kwa mlio karibu na vyombo vya habari,naombeni mtujulishe nin kinaendelea huko bungeni..hao mawazir wezi,weisha achia ngazi au bado?over Click to expand... sitegemei kipya toka bungeni angalia mwitikio wa wabunge wa CCM kwenye kusaini, naona watu wanasubiri kwa hamu lakini kipya ni kuwasilishwa hoja tu, wabunge wa CCM kwa umoja wao wataipinga tu unless waamue kufanya suprise
M mageni83 New Member Joined Apr 23, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Apr 23, 2012 #24 Naamini wabunge wa CCM wataamua kwa busara na utulivu kwa kuzingatia maslahi ya Taifa.
B baraka moze Member Joined Apr 21, 2012 Posts 99 Reaction score 3 Apr 23, 2012 #25 mgondi wa kiwila badi kizingumkuti
BPM JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,760 Reaction score 576 Apr 23, 2012 #26 tunasubiri mchana wa leo tuone mambo yakoje