Hata kama Lema amesema lazima ujue amekulia mazingira yapi. Kwa Arusha kuna mambo ni kawaida sana. Mtu kupigwa bisibisi na kuambiwa 'we k*** to simu au nichekeche' ni jambo la kawaida. Usipotoa simu jamaa anachekecha bisibisi na hapo tayari ipo ndani!
Mbona polisi huwa wanampiga Lema sasa yeye kupigana ni nongwa?