Kama tulivyozoea kipindi cha bunge,sasa si live tena! Makinda na Ndugai lengo lao limefanikiwa. Mpango huu ulipigiwa chepuo na wabunge wa ccm na badae Kashirila na mkurugenzi wa bunge ndugu Mwakasyuka walipenda hiwe hivyo na sasa imekuwa.
Baada ya watz kuchachamaa, uongozi wa bunge ulionekana kuogopa msimamo wa Tz, Jana tuliona yaliyotokea bungeni.
Matangazo yalikatwa baada ya Lissu kuambiwa atoke nje. Leo Serina Kombani wakati anahutubia wamestisha matangazo kwa muda.
Hii ni aibu kwa nchi yetu na Makinda kuwa aliwekwa na mafisadi hivyo anatekeleza analoambiwa. Kinachooneshwa live ni mzungumzaji/mchangiaji tu, matukio kama Wassira kusinzia, Serukamba kuchati na simu hawatak kuonyesha.
Bunge live sasa ni kama 'mtu ameenda Tra kupiga picha kwa ajili ya kubadilisha leseni ya udereva'.
Sisi watanzania tunataka tuone nani mchangiaji, mvurugaji, msinziaji, mtukanaji na mpindisha kanuni ili 2015 tuamue wenyewe.
Watz tunataka kodi zetu zitumike vizuri ili vyombo kama Itv, Star Tv na Tbc inayochakachua taarifa ioneshe kila kitu.