YALE yanayooneshwa katika TBC yamefanikiwa kukifanya kipindi laivu cha bunge kuwa 'soap-opera' bora nchini. Hivi sasa, hasa, kukiwa na hoja moto inayompa spika ujeuri na jazba na hali kadhalika 'young turks' wa opposition-Zitto Kabwe na Tundu Lissu bila kumsahau Mh. Kafulila.
Baadhi ya watu wanasema hili ndio angalau robo ya aina ya bunge tunalotaka kuliona au kulisikia.