Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,486
- 34,789
Kweli jukwaa limevamiwa na misukule. Unadhani suala la Lissu kutibiwa ni la utashi wa mtu au ni la kisheria? Kwa sababu kama huelewi kisheria hata fedha zilizolipwa na chama kumtibia hadi sasa Bunge kama mwajiri wa Lissu wanapaswa kuki refund chama kila senti mradi waonyeshe uthibitisho.
Mada kama hizi za kijinga MODS walipaswa kuzifuta tuu kwani pamoja na uhuru wa kuandika lakini JF sio jukwaa la wajinga kwamba mawazo yako mfu badala ya kujadili na mumeo unayaleta hapa na kujaza nafasi.
Hata kama ni la kisheria...si mlikataa kwa dharau na majigambo kuwa hamna imani na serikali..Ummy Mwalimu alitoa Mwongozo kisheria..mkamtukana wee...nimegundua wengi wenu ni form four fail kama sio la saba....