Bunge modern taarabu yatoa nyimbo mpya.

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
Content: BUNGE MODERN TAARAB inawakaribisha mashabiki wake kwenye uzinduzi wa albam yao mpya kabisa iliyobeba nyimbo za mipasho:-
1.Mkuki kwa nguruwe... (Spika Anna Makinda).
2.Mimba zisizotarajiwa....(Livingstone Lusinde)
3.Siongei na mbwa..........(Juma Nkamia)
4.Common ---- you..........(Peter Serukamba)
5.Toka nje.......................(Job Ndugai)
Wahi mapema katika uzinduzi wa album hiyo na nunua nakala halisi ili kuinua maisha ya wasanii wetu.
 
BUNGE MODERN TAARAB ::::::::::
inawakaribisha mashabiki wake kwenye uzinduzi wa albam yao mpya UKUMBI WA BUNGE LEO JIONI iliyobeba nyimbo hizi; 1.MKUKI KWA NGURUWE... ( Anna Makinda) 2. MIMBA ZISIZOTARAJIWA (Livingstone Lusinde) 3. SIONGEI NA MBWA NAONGEA NA MWENYE MBWA( Juma Nkamia) 4. COME ON, ---- YOU (Peter Serukamba) 5.PUMBAF, NYOKO MWENYEWE (Halima Mdee)6.TOKA NJE SHENZI (Ndugai J).
Mgeni Rasmi ni DIDAS MASABURI na atanuiza kwa Wimbo wake maarufu ''WABUNGE WA CCM WANAFIKIRI KWA ------'!
WAHI UZINDUZI NA NUNUA DVD HALISI ILI KUWAINUA WASANII WETU HAWA WA MJENGONI!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…