BUNGE likianza, NGELEJA na AG si ajabu wakawajibishwa, sijui wataliambia nini BUNGE

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,851
16,749
Naona wazii moto unaowawakia Ngeleja na AG, who allowed DOWANS walipwe mabilioni?
Bunge ndilo linalo pitisha Budget, kama vile hawajui taratibu, Mkulo kajitoa
kakaa mbali, kasema hazina haitoi hela, hii yote KUHOFIA BUNGE, sasa hawa wawili
hali yao itakuwa mbaya mno hapo Feb, tusubiri, sijui watajitetea na nini? how..? hakuna
mwenye nguvu zaidi ya bunge, najua speaker ni wa CCM hawezi tuliza moto huu, hapo sasa
 
Hizo ni ndoto Mr. Presidaaa. Maamuzi ya Bunge ni idadi ya wabunge. Chama chenye wabunge wengi ndio kitakachoamua kwa miaka mitano ijayo.
 
Naamimi hata wabunge wengi wa CCM hawapendezwi na hili swaga la Dowans, maana siwote wanapenda madudu ya wakubwa wao.
Lakini naamini ikiwa kutakuwa na kupigwa kura za siri kwenye karatasi zisizo na serial ya kuonyesha nani kapewa karatasi gani, hao jamaa wataondoka tena kwa kupigiwa kura na CCM wenzao
 
Kama kungekuwa na uwezekano wa Ngeleja na AG kuwa promoted wangekuwa promoted. Hii ndio Tanzania. You get fame and promotion for messing up, kama kweli wakiwajibishwa nitashangaa sana, lakini nina hakika hilo halitatokea. Likitokea linaweza kuingia kwenye guiness book. Tanzania hatuna uwajibikaji na uwajibishaji. Ndio maana unaona kabisa tunatoka EPA, tunaingia Richmond, tumetoka Richmond tumeingia Dowans, kuna nyingine zitakuja tena.....tunaendelea kuliwa hela wenyewe wanaendelea kutesha.
 
Hizo ni ndoto Mr. Presidaaa. Maamuzi ya Bunge ni idadi ya wabunge. Chama chenye wabunge wengi ndio kitakachoamua kwa miaka mitano ijayo.
huu ni upuuzi mkubwa....wabunge wa ccm hawawezi kupiga kura za ndio eti kwakuwa wapo wengi wakati wakijua kwamba wanaliangamiza taifa zima...unafiki mkubwa tena wasulubiwe milele....
 
Wawajibishwe kwa bunge lipi? Au kwa spika yupi? Mimi ningeshauri tusahau hilo ili mioyo yetu isije pasuka ikitokea vinginevyo. 40% ya wabunge ni mbumbumbu kabisa ambao hawajui lolote kabisa. 40% ni wabunge waliowekwa madarakani na mifukoni mwa hao wenye mradi huo na hao wapo pia hata kwenye kambi ya upinzani. Sasa unatarajia hiyo 20% ndiyo ipaze sauti ili zifike wapi? Mimi sijui suluhisho la tatizo hili ni nini lakini kwa kweli mwananchi mnyonge wa Tanzania anatia huruma na amekosa mtu wa kumliwaza na kumtetea. Nchi inanyonywa na hao watu wamemsahau Mungu na hata kusahau kwamba kuna kifo! Eeh Mungu wa Yakobo, waadhibu wanyonyaji hawa dhalimu!
 
Usisahau mfumo wetu wa kiajabu, wanaoafiki waseme ndio, ndioooooooooooooooooooo! wasioafiki waseme sio, siooooooo, walioafiki wameshinda, Dowans walipwe ili mali zetu zisikamatwe, sasa waliosign mikataba hii wako why not wajibisha hawa wapuuzi plus
 
Hakuna kitu hapo wataendelea kula bata tu,wenye Dowans tu wapo wana sherehekea mavuno and nobody can try to ask them,
 
inauma sana ndugu zangu lakini cha muhimu kila linazowekana kufanyika leo tufanye ili angalau wajukuu zetu wawe na cha kujivunia kutoka kwetu, ukichea na nyani utavuna mjabua
 
Hivi hao wabunge wa CCM wao hawaoni hayo makali ya mgao wa umeme? hawana machungu na nchi yao? hawakerwi na utendaji mbovu wa baadhi ya wakubwa zao? ndio leo wa support ishu ya DOWANS? i doubt! lets see what happnes in February!
 
Hizo ni ndoto Mr. Presidaaa. Maamuzi ya Bunge ni idadi ya wabunge. Chama chenye wabunge wengi ndio kitakachoamua kwa miaka mitano ijayo.

sikubaliani na ww, are all CCM MPs agreed to DOWANS payment, the answer is NO, remember issue ya RICHMOND Lowassa alitaka kulia bungeni
na kujiuzulu na mawaziri wawili, kwani wapinzani bungeni walikuwa wengi kuliko CCM, answer is NO, hivyo huyu Presidaa yupo sahihi, is a
great perspective/vision, huyu Ngeleja & AG wamekalia KITI MOTO, they must resign, u will see
 
Back
Top Bottom