The Conquerer
Member
- Aug 16, 2012
- 79
- 94
Hapa hatuna Bunge kabisa, hao ni makada wa CCM wanjifurahisha kwa kuunga mkono serikali mia kwa mia,
tatizo ya mnaonunuliwa mnawaza pesa tu mda wote, NAIJUE KODI ZA MNAOWAUA NDO ZINAWALIPA HAYO MARUPURUPU NA MISHAHARA TATIZO LENU MNAAMINI WAZUNGU WATAWAPA KILA KITU!SASA KM WAJINGA WANADENGUA KUHUDHUIRIA WALIFIKIRI BUNGE HALITAENDESHWA?
Hata kwa miaka yote iliyobaki Serikali ya tanzania itakuwepo na kila kitu kitaenda bila kipingamizi chochote
Hivi Bunge lenye Kebehi madharau faida yake ni nini mliyoipata toka CHADEMA waingie humo Ukumbini
Ni vizuri kabisa na kwenye Katiba iorodheshwe watakaosusa au kuomba Muongozo Kura zipigwe na Bunge litaamua kutokna na kura
Sasa hao Wabunge wanaozila kuhudhuria wanajua ni Kodi za nani zinazowalipa Marupurupu na mishahara?
SASA KM WAJINGA WANADENGUA KUHUDHUIRIA WALIFIKIRI BUNGE HALITAENDESHWA?
Hata kwa miaka yote iliyobaki Serikali ya tanzania itakuwepo na kila kitu kitaenda bila kipingamizi chochote
Hivi Bunge lenye Kebehi madharau faida yake ni nini mliyoipata toka CHADEMA waingie humo Ukumbini
Ni vizuri kabisa na kwenye Katiba iorodheshwe watakaosusa au kuomba Muongozo Kura zipigwe na Bunge litaamua kutokna na kura
Sasa hao Wabunge wanaozila kuhudhuria wanajua ni Kodi za nani zinazowalipa Marupurupu na mishahara?
hapa umejamba !!1. Kk,,,mnnnnn11! Kkkwmkuu ukiturushia hapa cv yako kwa ufupi tu tungekupa ushauri wa kukufaa maishani. Lakini sishangai kwa mawazo uliyotuandikia hapa mtu naweza akakujua mara moja wewe ni mtu wa aina gani. Upo msemo wa hekima usemao kwamba, "ni mpumbavu tu ambaye hujufunza kwa makosa yake mwenyewe, lakini mwenye hekima yeyote hujifunza kwa makosa ya watu wengine"
tafakari kwa kina ushauri huu, ni mchawi tu anayeshangalia msiba wa mtu lakini jirani mwema hutumia msiba wa mtu kutafakari na yeye msib utakaapomkuta na yeye nyumbani kwake. Maana mtu anayejua kuandika, kiwango cha makosa huwa kidogo sana kuliko msemaji wa moja kwa moja.
Tafakari-!!!!!!!!!!!