Bunge lamualika Nabii Mkuu Geodevie wa Arusha Kufanya Maombi Maalum kwenye Chapel ya Bunge Mkutano Ujao wa Bunge!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,045
143,784
Mbunge Anna Lupembe pamoja na mbunge wa Arusha Mjini mh Gambo wamewasilisha Barua ya mwaliko kwa Nabii Mkuu Geodevie kutoka Ofisi ya Bunge

Baada ya kukabidhiwa Nabii Mkuu Geodevie amewaambia Huo ni mwaliko wa Bunge kwenda Kufanya Maombi Maalum kwenye Chapel ya Bunge

Kanisa zima likaripuka kwa hoi hoi na vifijo

Nawatakia Dominica Njema πŸ˜„
 
Naona bunge linatafuta uugwaji mkono wa "local clergymen" juu ya "dipiiwedi".
Roma locuta causa finita.
 
Ninachojua Gambo harudi bungeni 2025. Anatapatapa.
 
Ngoja wakakanyage chumvi ya upako πŸ˜„πŸ˜„
 
Mpaka sasa, Bakwata washatupa karata yao, tumeona uwezo wao wa kutetea kuanzia mwanzo na sasa uwezo wao wa kuchambua hoja.

Bunge ndo hivyo........anayefuata asichelewe kujitokeza tafadhali

Nadhani wakimaliza, TEC watagonga kitu ingine tena!

Enyi, mjitahidi kupiga hizi tamko angalau mara 2 kwa mwaka, nchi ichangamke...ameeeeen.
 
 
Wanaijibu TEC kiana? hawataweza, kanisa halina hata tawi moja
 
sasa unategemea nini, bunge la mashetani kwanini lisimualike nabii wa shetani, birds of the same feather fly together. Geordavie ni ajenti wa shetani kabisa na wote wanaosali kwake wanaenda motoni.
 
CCT inakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…