Bunge lamjadili Masaburi


Inawezekana ni kweli hao wabunge wa kwenu ndio wanaofikiria MASABURI.
Na inaelekea hata nyinyi wapiga Kura wao mnatumia vitokavyo katika MASABURI yenu kwanza, ndio mwaenda kupiga Kura. Maana ndio Mungu kayaweka ktk vichwa vyenu.
 
Hoja ya msingi ni wabunge wa Dar kwa mambo wanayofanya inawezekana kabisa hawatumii mfumo wa kawaida kufikiri labda kuna vitu vingine kama sio masaburi vinatumika kufikiri.

Wachunguzwe wabunge kwanza manake yapo mambo ya muhimu na yalazima walipaswa kuyajadili sasa lakini wanakaa vikao kujadili kutukanwa kwao.

Kuna mbunge alisema hatokubali watu wahamishwe mabondeni, matokeo yake bunge limeona na wala wanajiona hawahusiki nalo wakati wahanga bado mustakabali wa maisha yao hayajulikani, mwingine anaona madaktari wanatunishiana msuri na serikali bila hata kufikiri anayeumia nani wanashabikia mgomo wakati wenyewe hata hawahudumiwi na madaktari hao.

Wengine wako na mafisadi miaka zaidi ya mitano anapambana nao tu, wengine wanachapa usingizi na kudai waongezewe posho.
 
Hiyo kamati wakitumia hata dk 20 kujadili kauli yake kuhusu wabunge watakuwa wanataa posho tu. Wnachotakiwa kuajdili na chenye tja kw awatanzania ni uuzaji wa uda na asset zake.

Hyo mambo ya "kufiiri kutumia masaburi" lengo kuu kama sio ya "posho" walitakiwa wamjadili kitambo.


Bunge lisitake kujiona kama "mungu fulani "Rais mwenyewe mbona alichorwa kwenye utamu na kamati ya bunge hatukusikia....


Wakitaka kuonyesha umakini wao wajadili kauli tata za viongozi kuhusu posho za wabunge na UUzaji wa UDA.......
 
Kwanza wangethibitisha kama kweli hawatumii masaburi kufikiri, kisha wakijiridhisha kua kweli hawatumii then wamjadili. Otherwise watakua hawamtendei haki. Kwa sisi wananchi tunaona kweli wanayatumia mwanzo mwisho
 

Kigwangalla siku nyingine ukiamka vizuri unatoa mchango wa maana; sasa kama unaamini ulisema ukweli na wenzio katika hicho chama chenu hawataki ukweli bali uongo na unafiki how do you reconcile yourself to work with such fools? Unless unanjaa kali sana lakini nadhani sio hivyo kwani mradi wa pamba lazima unaweza kuwa cushion nzuri tu hata ukifukuzwa!!
 
Yeye wakati anatoa hii kauli alikuwa anatumia masaburi...sasa inakula kwake.
 

Mkuu Maswali Kidogo maana wewe ni Kiongozi na kauili zako ni vema zihakikiwe kama za kiongozi mwingine yeyote mwenye dhamana:

  1. Ulisema Ukweli gani?
  2. Uko Mbioni kufukuzwa chamani:
    1. Kufukuzwa na nani?
    2. Umefanya nini?
    3. Lini utafukuzwa
  3. Kwa kuweka hapa mambo ambayo hujatoa ushahidi, huoni kuwa wewe kama kiongozi unajiingiza kwenye mambo ya mipasho na kujishusha hadhi?
  4. Nini kimekusukuma kuyaandika hayo hapa maana hayana uhusiano kabisa na topic husika?
 

Unajuwa Dr nilikuwa siliamini hili juu ya wewe kuwa hatiani kufukuzwa baada ya kusema ukweli,ni jambo la kushangaza sana pale unapotakiwa kusema uongo ndio uonekane shujaa sielewi wapi tunaelekea

Lakini wakati una apa kunasehemu inasema "nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko" sasa inakuwaje husemi huu hautakiwi tena na chama?

lakini Dr ukweli utakuweka huru daima
 

mbona haya mambo yamejadiliwa sana kile kipindi cha mgomo wa Madaktari,labda hukuwa makini kufuatilia ila sasa ndio umeona kweli laweza kuwa jambo

lakini issue ilijadiliwa sana ikimhusisha HK na Makamba
 
Lakini BUNGE na KAMATI YA BUNGE ni vitu viwili tofauti sana!

Iwe bunge au kamati vyote ni bure tu! Baada ya kujadili wizi wa wanyama hai na Jairo nini kimefanyika na wao wamefanya nini? Wakimaliza Meya waambie waache kubwabwaja ka wendawazimu.
 
Kwanza wangethibitisha kama kweli hawatumii masaburi kufikiri, kisha wakijiridhisha kua kweli hawatumii then wamjadili. Otherwise watakua hawamtendei haki. Kwa sisi wananchi tunaona kweli wanayatumia mwanzo mwisho

Well said🙂
 
Inawezekana ni kweli hao wabunge wa kwenu ndio wanaofikiria MASABURI.
Na inaelekea hata nyinyi wapiga Kura wao mnatumia vitokavyo katika MASABURI yenu kwanza, ndio mwaenda kupiga Kura. Maana ndio Mungu kayaweka ktk vichwa vyenu.

mbona unaandika kama vile unatumiwa na waziri mkuu wa uigereza awapo katika starehe zake baada ya kazi?
 
Huyu malio sorry masaburi ana shahada ya kughushi ya udaktari. Hata bachelor wala masters hana zaidi ya CPA ya kughushi nayo. Fisadi mkubwa na ni rafiki wa tapeli mwingine aitwaye Makongoro Mahanga.
 

nadhani alikuwa anajaribu kuonyesha madhara ya kauli za viongozi wakati mwingine zinaweza kuhatarisha mshikamano na umoja wa wananchi

hata hivyo hili ni swali zuri kwa DR kutupa ufafanuzi zaidi wa kile kilichomkuta huko kwenye vikao hadi ifikie atake kutimuliwa chamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…