Nicholaus Kilunga
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 1,188
- 570
Naibu spika wa bunge la jamhuri wa Tanzania Job Ndugai ameahilisha bunge mpaka kesho asubuhi ili kutoa kamati ya fedha,wizara ya fedha na kambi ya upinzani kupata nafasi nzuri ya kupitia ,kuchambua na kuandaa hoja zao vizuri juu ya mswada wa sheria ya fedha(financial bill)uliowasilishwa jana jioni