zumbe ,unajua hawa jamaa sisimi (ccm)hawataki kuwa na mtu anaye weza kuongoza bali anaye weza kuongozwa,ndio maana walimtoa Sita wakaweka hicho kihiyo ili wakikaange kwa mafuta yake mweeenyeeewe.hivi huyu mama makinda anafanya kazi kwa maslahi ya nani? nina mashaka pia na uwezo wake na utashi wake wa kufikiri.