Sr. Magdalena
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 803
- 472
Habari zisizo rasmi kutoka Dodoma zinadai kuwa Bunge Maalum la Katiba limeahirishwa hadi hapo maridhiano kati ya makundi yanayokinzana yatakapopoatikana.
More details zinafuata
na huo ndio mwisho wa 6 kisiasa, kashindwa kuchezesha timu vizuri kama no 6, na ni aibu kwa hao walioenda na kujitapa wakijua katiba ni kitabu kinachotungwa na mwandishi mmoja.
wataiba watasepaCCM Waache wa rukeruke tu,2015 tutakutana kwenye sanduku la kura.
safarii lazima kinuke.wataiba watasepa
Habari zisizo rasmi kutoka Dodoma zinadai kuwa Bunge Maalum la Katiba limeahirishwa hadi hapo maridhiano kati ya makundi yanayokinzana yatakapopoatikana.
More details zinafuata