sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,488
Mkutano wa bunge la bajeti la JMT kuanza vikao vyake leo huko mjini Dodoma. Aidha wabunge watajisajili kwa mfumo wa alama za vidole. Lengo ni:
=kuimarisha ulinzi
=kudhibiti watoro
Kuna hofu ya kutokuonyeshwa ''LIVE'' kwa mkutano huo.
Magazeti ya leo yameripoti TBC na vituo binafsi marufuku kuonyesha ''live''
=kuimarisha ulinzi
=kudhibiti watoro
Kuna hofu ya kutokuonyeshwa ''LIVE'' kwa mkutano huo.
Magazeti ya leo yameripoti TBC na vituo binafsi marufuku kuonyesha ''live''