Brightman Jr JF-Expert Member Joined Mar 22, 2009 Posts 1,224 Reaction score 236 Jul 19, 2012 #21 Return Of Undertaker said: Kwa nini hoja ikiletwa na upinzani inakataliwa na Spika lakini ikiletwa na CCM inakubaliwa; kwa mfano jana Mbunge wa Wawi alitoa hoja ya kuhailishwa shughuri za bunge ikakataliwa kwa nguvu kubwa lakini ilipoletwa na CCM ikakubaliwa? Click to expand... Maslahi ya chama kwanza..!
Return Of Undertaker said: Kwa nini hoja ikiletwa na upinzani inakataliwa na Spika lakini ikiletwa na CCM inakubaliwa; kwa mfano jana Mbunge wa Wawi alitoa hoja ya kuhailishwa shughuri za bunge ikakataliwa kwa nguvu kubwa lakini ilipoletwa na CCM ikakubaliwa? Click to expand... Maslahi ya chama kwanza..!
mtotowamjini JF-Expert Member Joined Apr 23, 2012 Posts 4,525 Reaction score 1,179 Jul 19, 2012 #22 Tunaomba wakati bunge likihairishwa na posho za wabunge nazo zisitishwe mpaka bunge litakaporudi