pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,654
- 6,277
Juzi kati kamati ya bunge ililalamikia serikali kutokutoa pesa zilizotengwa kwa ajili ya matumizi ya bunge na kufanya mambo mengi kukwama ndani ya bunge.
Swali ni hivi; hawa wabunge si ndio walipewa pesa wakazirudisha kwa magufuli?
Sasa wanalilia nini wakati pesa walidai wamepewa nyingi hadi hawana pa kupeleka wakaamua kuzirudisha kwa aliyewapa! Naomba mheshimiwa Rais awape kiwango kilekile hau apunguze zaidi ili wajue ubaya wa kujipendekeza.