Bunge dogo lililofanyika hivi karibuni...

Bunge dogo lililofanyika hivi karibuni...

MANGUNGO

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
1,536
Reaction score
354
Wakuu kuna tetesi kwamba hivi karibuni bunge dogo limefanyika dsm kujadili mshahara na maslai ya wafanyakazi,mwenye taarifa hizi kwa undani jamani hemu atape yaliyojiri ktk kikao hicho.asanteni wakuu
 
Aliyekupa tetesi hizo si akujuze nasi tujue.Ni lini bunge likakaaa siri,acheni uzushi.Serikali haisikii ila cha moto kiko karibu wala si mbali.
 
Yaani habari za tetesi ndizo hujaza servers za JF
Huna source ya kuaminika kaa kimya kwani lazima upost kila fununu unazockia?
 
Bunge gani hilo la wananchi linaoloweza kujadili kitu sensive hivyo kwa siri?
 
Labda kamati sio bunge ilo maana kikao cha bunge hakina siri
 
bunge dogo ndio nini, au kamati, na labda walikuwa wanajadili mishahara yao ambayo ndio hufanya siri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom