Bundle linateketea kwa kabisa mno, nakosea wapi?

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,064
Reaction score
991
Nimekuwa nikitumia bundle za halotel. Nashangaa kila nikifanya hotspot tethering kwa PC yangu, bundle la 700MB, halichukui hata dakika 10, chali. Nisipofanya tethering na kuamua kutumia bundle kwa android yangu tu, mzigo unadumu mpaka siku 4.Nimejaribu hata kwa bundle ya voda, majanga ni yale yale. Sielewi ninakosea wapi, sasa hivi sifanyi tena hotspot wala usb tethering kwa kuhofia upotevu wa bundle zangu.
 
Kama unatumia windows basi turn off auto updates, hizi ndio zinafyonza sana bandle zikiwa on!! Sasa hii ndio inaweza kuwa mahali shida ilipo lakin pia chek kama una software ambazo zinajiupdade automatic then turn off!!

Ila kwa kesi yako zima updates za windows!!
 
Badili setting ya window updates, software zote ambazo zina ji update automatic then changua ziwe zina kuambia uzia update wewe wenye pindi update inapotokea ili uziruhusu.
 
Akhsante mkuu,ngoja nijaribu kufanya ivo.
 
Turn off automatic windows updates, kwny PC yako mkuu
Pia, wenzako wanaotumia hotspots yako hakikisha PCs zako pia wameturn off
 
Hapo Tatizo ni windows aupdate download haka ka batch script kata turn off auto update kanaitwa okoa MB
 

Attachments

Browsing via PC sio sawa kama ukiwa una browsing via simu, matumizi ya bundle hayawezi fanana, background synchronize pitia PC, updation pia yote hayo yatalazimu matumizi makubwa so wala usishangae
 
Browsing via PC sio sawa kama ukiwa una browsing via simu, matumizi ya bundle hayawezi fanana, background synchronize pitia PC, updation pia yote hayo yatalazimu matumizi makubwa so wala usishangae

Mtoa mada zingatia hizi comment mbili kila moja inajitegemea.
 
Mtoa mada zingatia hizi comment mbili kila moja inajitegemea.
Mko sahihi wakuu,but what i did nime install third party android app inayonifanya nisijulikane kama nina fanya tethering na PC yangu,kwahiyo mambo yanaenda vizuri sasa.Nime install FoxFi from google play.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…