Bundle kwenye simu yangu zinawahi kuisha, msaada pls

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,840
Ninahitaji msaada wenu wakuu. Simu yangu kila nikiwa kifurushi cha internet hakimalizi hata siku nzima, najiunga mb 180 mara tatu kwa siku na si kwamba na download sana video kwenye whatsapp sijui tatizo ni nini.

Aina ya simu samsung galaxy a3.

ASANTENI
 
ingia settings then location access angalia sehemu imeandikwa access to my location kama kuna katiki katoe
 
Jaribu ku disiable automatic update ya apps pia unapokuwa hutumii internet jaribu kuiweka off
 
MB 180 ndani ya masaa 24 unaruhusiwa kujiunga mara moja tu.
Sasa wewe ndugu yetu inakuwaje unajiunga mara 3?
 
Ukijiunga huwa unapata sms ya kukubaliwa? Siku hizi wanaujinga wa kuchelewesha sms makusudi.
 

nenda kwenye setting kisha chagua data then shuka chini angalia ni apps gani inaongoza kula data..kama ni playstore basi itabidi uweke off automatic updates. .kama itakua ni nyingine basi tutajie tujue ni ipi.
 
Thanks kcamp , nimeangalia ni playstore na youtube.
 
Last edited by a moderator:
mi naituimia hata sina hata haja ya hilo bando lenyewe,nikitia jero ni siku 2 mpaka 3 nipo jf mwanzo mwisho
 
Thanks kcamp , nimeangalia ni playstore na youtube.

basi fungua playstore kisha upande wa kushoto kwa juu utaona kuna vi mstar vitatu ukigusa pale utaona setting kisha fungua setting hiyo na angalia auto updates hakikisha umechagua do not auto update apps.

na youtube unaelekea unaangaliaga videos huko..kuchek video youtube kuna malza kifurushi sana..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…