Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,557
- 31,968
Probably windows update itakuwa turned on, kwa hiyo inajiupdate automatic kila inapokuwa na network access, cha kufanya fungua control panel halafu ingia "system and security" kisha sehemu ya "Windows update" click sehemu iliyoandikwa "Turn automatic updating on or off" kisha weka "Never check for updates" hii ifanye kipindi unapotaka kudownload tu, na kama windows update itakuwa turned off halafu bundle ikawa inatumika fuata ushauri wa watu wengine kama utakavyoelekezwa hapaHili jambo limekuwa limikwaza maana jana nimenunu kifurushi nikajiunga na 2GB airtel lengo ni kumalizia kudownload series flan. nimeamka asubuh nakuta imebaki 156MB na kwenye ile series zimetumika MB 300 tu. hivyo kuna kama 1.6 GB hazijulikani zimeenda wapi .
nimeangalia kwenye statistics nikakuta kwenye upande wa Upload Data zimetumika hizo 1.something GB na download ndo zikaoneshwa hapo kidogo.
swali je inawezekana kuna kuwa na background matumizi ambayo siijayafaham au tunaposhare seeds ina athiri bundle zetu na nini kifanyike ili kuzuia bundle isiwe inaisha mapema hivi?
Probably windows update itakuwa turned on, kwa hiyo inajiupdate automatic kila inapokuwa na network access, cha kufanya fungua control panel halafu ingia "system and security" kisha sehemu ya "Windows update" click sehemu iliyoandikwa "Turn automatic updating on or off" kisha weka "Never check for updates" hii ifanye kipindi unapotaka kudownload tu, na kama windows update itakuwa turned off halafu bundle ikawa inatumika fuata ushauri wa watu wengine kama utakavyoelekezwa hapa[/QUOTE
Umemjibu vyema na kama alikuwa bado hajuligundua tatizo hichi ndicho ninachomnywea MB zake. Ni vyema akaweka uploading limit kudhibiti upotevu wa data.torrent ni 2 way p2p file sharing. Yaani unapokuwa umefungua program ya torrent yoyote wewe unaweza kudownload kwa watu na watu wanadownload kutoka kwako, kwa hiyo unafanya uploading at the same time. Na vitu vyote ulivyowahi kudownload kwenye Vuze vya zamani watu wanaweza kuvichukua kutoka kwako. suluhisho ni kupunguza ipload speed kwenye settings za vuze na pia kuondoa file kwenye vuze ukishamaliza kudownload ili lisile bundle, of coz kila mtu akifuata ushauri huu kutakuwa hakuna torrents!