CHIMBULI WA CHIMBULI
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 468
- 160
Ccm yapata aibu! Bunda hizi ndo msafara wa kurudisha form ya wagombea udiwani kata Nyasura Bunda Mjini mpema hii leo.
Kweli wametisha, Ccm inaanguka Bunda, ccm inaangamia Bunda
Tusubiri uchaguzi,
Tusubiri uchaguzi,
Tusubiri uchaguzi,
Tusubiri uchaguzi,
mzee wa 24hrs onlineMzee wa Gombe anasemaje?